View This Mission Statement in Other Languages .... ..
Jukumu la Karabole Tours and Safaris Limited ni kutumia utalii katika utunzaji wa mazingira kwa faida ya wenyeji.
Tunapanga safari za utalii ambazo zitawezesha wataliii wafaidike na kutazama wanyama wa pori na mazingira na pia wajumuike na wenyeji wa sehemu ambazo wame zuru.
Baadhi ya faida toka malipo ya utalii zitaenda kwa wenyeji ili kuleta maendeleo katika sehemu ambayo watalii walizuru.
Programu hii ni ya kutunza mazingira, kuleta maendeleo katika sehemu mbalimbali na maisha ya wenyeji na pia kutumia malipo kutoka kwa utalii kwa njia inayoleta maendeleo.